Kasi ya kupiga Selfie kwa kuweka Utamu hadharani inazidi
kuongezeka ambapo wadada ndio wanaongoza. Wengi wanapiga selfie za makalio na
maungo mengine huku wakieleza wanayo chukia katika maungo yao na kusisitiza
wenzao wenye maungo wanayo chukia kwamba hawako peke yao.
"Unajua mimi binafsi nilikuwa nikiyachukia makalio
yangu ila kwa sasa si haba, kwani ninafurahi na haya niliyo nayo na sina haja
ya kuongeza saizi yake kwani haya ni tosha kabisa - Mariam wa Buguruni."