Ushawahi jiuliza zile pande za mapenzi katika movie za mbele huwa zinatengenezwaje?
BASI jifunze hapa. na kama unamaswali zaidi au wataka kujua zaidi basi jiachie kwa raha zako, tuandikie kwa facebook nasi tutakujuza zaidi.
Ukitizama historia ya filamu, scenes za SEX zimekuwa za mikanganyiko mingi mpaka kufikia zilipo sasa. DIRECTOR Joe Carnahan Ameamua ku-share na watazamaji wake namna SCENES hizi zinavyo tengenezwa kupitia movie iitwayo STRETCH.
BONYEZA HAPA KUTIZAMA
on